Ufafanuzi wa fuatiliza katika Kiswahili

fuatiliza

kitenzi elekezi

  • 1

    fuatilia jambo mpaka mwisho wake.

Matamshi

fuatiliza

/fuwatiliza/