Ufafanuzi wa fuatisha katika Kiswahili

fuatisha

kitenzi elekezi

  • 1

    nakili kitu kwa kuandika au kuchora juu ya herufi zilizoandikwa au juu ya mistari ya picha au mchoro.

  • 2

    iga tendo au tabia fulani.

Matamshi

fuatisha

/fuwati∫a/