Ufafanuzi wa fukaa katika Kiswahili

fukaa

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha, ~za

  • 1

    haribika sura ya kitu kwa sababu ya kukaa siku nyingi.

    chakaa

  • 2

    ingiwa na baridi.

    ‘Nikumbukapo malezi, damu hufukaa’

Matamshi

fukaa

/fuka:/