Ufafanuzi wa fukundi katika Kiswahili

fukundi

nomino

  • 1

    samaki aina ya changu mwenye rangi nyekundu kwenye sehemu ya kichwa.

Matamshi

fukundi

/fukundi/