Ufafanuzi wa fukuo katika Kiswahili

fukuo

nomino

  • 1

    tendo la kufukua.

  • 2

    shimo lililofukuliwa.

Matamshi

fukuo

/fukuw…Ē/