Ufafanuzi wa fukusi katika Kiswahili

fukusi

nominoPlural fukusi

  • 1

    mdudu mdogo mweusi mwenye gome gumu mgongoni anayeharibu nafaka kwa kuzipekecha.

Matamshi

fukusi

/fukusi/