Ufafanuzi wa fululiza katika Kiswahili

fululiza

kitenzi elekezi

  • 1

    endelea moja kwa moja bila ya kusimama.

    fuuza, dumu

Matamshi

fululiza

/fululiza/