Ufafanuzi wa fumukano katika Kiswahili

fumukano

nominoPlural mafumukano

  • 1

    tawanyiko k.v. baada ya mkutano.

Matamshi

fumukano

/fumukanɔ/