nominoPlural mafundo
- 1
ungio la vitu viwili vinapokutana au mfungo wa kitu ili kuonyesha kuna muungano.
- 2
mfungo wa uzi au kamba zinazoingiliana na kukaza hata kufanya uvimbe.
‘Fundo la uzi’ - 3
mahali viungo viwili vya mwili vinapoungana.
‘Fundo la mguu’
nominoPlural mafundo
- 1
mahali pa kuwekea pesa, agh. kibindoni.
akiba
nominoPlural mafundo
- 1‘Fundo la moyo’
nominoPlural mafundo
Kibaharia- 1
Kibaharia
kipande cha mti au bao cha kuegemezea mlingoti.farikumu, kibango