Ufafanuzi wa fupisha katika Kiswahili

fupisha

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya kuwa fupi; toa muhtasari; punguza urefu.

    katiza

Matamshi

fupisha

/fupi∫a/