Ufafanuzi wa furahia katika Kiswahili

furahia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    jawa na furaha kupita kiasi kwa ajili ya tukio fulani.

Asili

Kar

Matamshi

furahia

/furahija/