Ufafanuzi wa futua katika Kiswahili

futua

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

 • 1

  toa nje kilichoko ndani.

  fichua, funua

 • 2

  fungua kifurushi au ukanda.

 • 3

  chomoa kitu k.v. manyoya ya kuku, nywele au ndevu.

 • 4

  vumbua mambo au habari.

  fichua

 • 5

  fanya kubwa.

  vimbisha, tunisha

Matamshi

futua

/futuwa/