Ufafanuzi wa fyonza katika Kiswahili

fyonza, fyonda

kitenzi elekezi

  • 1

    vuta kwa nguvu za mdomo kitu chenye umajimaji k.v. aisikrimu.

  • 2

    vuta au kamua kwa ulimi, midomo au kitu au kifaa kinachofanya kazi hiyo.

    nyonya, sonda