Ufafanuzi wa gaja katika Kiswahili

gaja

kitenzi elekezi

  • 1

    changanya maneno.

  • 2

    tatanisha

Matamshi

gaja

/gaʄa/