Ufafanuzi msingi wa gamti katika Kiswahili

: gamti1gamti2

gamti1

nominoPlural gamti

  • 1

    aina mojawapo ya kitambaa kisichotiwa rangi.

    marekani

Matamshi

gamti

/gamti/

Ufafanuzi msingi wa gamti katika Kiswahili

: gamti1gamti2

gamti2

nominoPlural gamti

  • 1

    aina ya mchele.

Matamshi

gamti

/gamti/