Ufafanuzi msingi wa gana katika Kiswahili

: gana1gana2

gana1

nomino

  • 1

    aina ya tumbaku ya kusokota.

Matamshi

gana

/gana/

Ufafanuzi msingi wa gana katika Kiswahili

: gana1gana2

gana2

nomino

  • 1

    mia moja.

    mia

Matamshi

gana

/gana/