Ufafanuzi wa gango katika Kiswahili

gango

nominoPlural magango

 • 1

  tengenezo la kitu kilichovunjika au kuharibika.

 • 2

  matibabu

 • 3

  mzibo wa tundu.

 • 4

  muungo

 • 5

  chombo cha seremala cha kushikia ubao.

  bano

Matamshi

gango

/gangɔ/