Ufafanuzi wa garagara katika Kiswahili

garagara

kitenzi sielekezi

  • 1

    geukageuka mahali ulipolala.

    ‘Mtoto anagaragara kitandani’

Matamshi

garagara

/garagara/