Ufafanuzi wa gawia katika Kiswahili

gawia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    toa sehemu ya kitu kwa kila mtu anayestahili.

    ‘Baba Krismasi aliwagawia watoto zawadi’

Matamshi

gawia

/gawija/