Ufafanuzi msingi wa ghairi katika Kiswahili

: ghairi1ghairi2

ghairi1

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    badili nia; acha mpango au jambo lililokusudiwa kwanza.

Asili

Kar

Matamshi

ghairi

/ɚajiri/

Ufafanuzi msingi wa ghairi katika Kiswahili

: ghairi1ghairi2

ghairi2

kielezi

  • 1

    mbali ya.

Asili

Kar

Matamshi

ghairi

/ɚajiri/