Ufafanuzi wa ghiliba katika Kiswahili

ghiliba

nominoPlural ghiliba

  • 1

    tabia ya kutosema ukweli.

    ujanja, udanganyifu, hila

Asili

Kar

Matamshi

ghiliba

/ɚiliba/