Ufafanuzi wa gilasi katika Kiswahili

gilasi, glasi

nominoPlural gilasi

  • 1

    kitu mfano wa kikombe kirefu cha kioo ambacho agh. hutumika kunywea k.v. maji au pombe.

Asili

Kng

Matamshi

gilasi

/gilasi/