Definition of godoro in Swahili

godoro

noun

  • 1

    tandiko nene la kulalia ambalo hutengenezwa kwa sponji, pamba au sufi na agh. huwekwa juu ya kitanda.

    tandiko

Origin

Khi

Pronunciation

godoro

/gɔdɔrɔ/