Ufafanuzi wa gombakofi katika Kiswahili

gombakofi

nomino

  • 1

    jani la mgombakofi linalofanana na jani la majimbi.

Matamshi

gombakofi

/gɔmbakɔfi/