Ufafanuzi wa gombanisha katika Kiswahili

gombanisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~wa

  • 1

    fanya watu wagombane.

Matamshi

gombanisha

/gɔmbani∫a/