Ufafanuzi wa gonda katika Kiswahili

gonda

nominoPlural magonda

  • 1

    mjusi anayeishi kwenye mawe au majabali ambaye huinua kichwa chake juu na kukishusha chini; mjusiislamu.

    koakoa, guruguru

Matamshi

gonda

/gɔnda/