Ufafanuzi wa gonganisha katika Kiswahili

gonganisha

kitenzi elekezi

  • 1

    gusanisha vitu kwa nguvu.

    ‘Ulivyozishika chupa utazigonganisha’

  • 2

    ‘Gonganisha watu’
    gombanisha

Matamshi

gonganisha

/gɔngani∫a/