Ufafanuzi wa gubigubi katika Kiswahili

gubigubi

kielezi

  • 1

    (hutumiwa na kitenzi ‘funika’) bila ya kuacha hata sehemu ndogo.

    kabisa

Matamshi

gubigubi

/gubigubi/