Ufafanuzi wa gulio katika Kiswahili

gulio

nomino

  • 1

    soko linalofanywa mara moja kwa juma au mwezi.

    chete, soko

Matamshi

gulio

/gulijÉ”/