Ufafanuzi wa guma katika Kiswahili

guma

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    lia kama simba anapowinda; toa sauti kwa ndanindani.

    nguruma

Matamshi

guma

/guma/