Ufafanuzi wa guna katika Kiswahili

guna

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    toa sauti ya kuonyesha kukataa, kushangaa, kuchukia au kutoridhika na jambo.

Matamshi

guna

/guna/