Ufafanuzi wa gusa katika Kiswahili

gusa

kitenzi elekezi

  • 1

    papasa kidogo; shika kidogo.

Matamshi

gusa

/gusa/