Ufafanuzi msingi wa guta katika Kiswahili

: guta1guta2

guta1

kitenzi sielekezi

  • 1

    ita kwa sauti ya juu.

    ita

Matamshi

guta

/guta/

Ufafanuzi msingi wa guta katika Kiswahili

: guta1guta2

guta2

kitenzi elekezi

  • 1

    piga pembe kama afanyavyo ng’ombe.

Matamshi

guta

/guta/