Ufafanuzi wa habarisha katika Kiswahili

habarisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~iwa

  • 1

    peleka taarifa mahali au kwa mtu, kundi au taasisi.

Asili

Kar

Matamshi

habarisha

/habariʃa/