Ufafanuzi wa habedari! katika Kiswahili

habedari!

kiingizi

  • 1

    neno la kuhadharisha, hasa hutumiwa na makuli au mahamali wanapotaka kupita au kuteremsha mizigo.

    heria!, simile!, angalia!

Asili

Kaj

Matamshi

habedari!

/habɛdari/