Ufafanuzi wa hadhiri katika Kiswahili

hadhiri

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    eleza au zungumza mbele ya watu au darasa juu ya somo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

hadhiri

/haðiri/