Ufafanuzi wa haidroliki katika Kiswahili

haidroliki, hidroliki

kivumishi

  • 1

    -enye kuendeshwa kwa maji ili kupata nishati.

Asili

Kng

Matamshi

haidroliki

/haIdrɔliki/