Ufafanuzi wa hakikishia katika Kiswahili

hakikishia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~wa

  • 1

    thibitishia mtu kuwa jambo ni sahihi au litafanyika.

Asili

Kar

Matamshi

hakikishia

/hakiki∫ija/