Ufafanuzi wa haluli katika Kiswahili

haluli

nomino

  • 1

    dawa yoyote ya kuendesha tumbo; dawa ya kuharisha k.v. sanamaki.

    ‘Haluli ya chumvi’
    msahala

Asili

Kar

Matamshi

haluli

/haluli/