Ufafanuzi msingi wa hamaki katika Kiswahili

: hamaki1hamaki2

hamaki1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    shikwa na hasira ya ghafla.

    ghadhibika, hemka, kasirika, chukia, foka

Asili

Kar

Matamshi

hamaki

/hamaki/

Ufafanuzi msingi wa hamaki katika Kiswahili

: hamaki1hamaki2

hamaki2

nominoPlural hamaki

  • 1

    hasira ya ghafla.

    harara, ghaidhi, mafutu, ghadhabu, hasira, chuki

Asili

Kar

Matamshi

hamaki

/hamaki/