Ufafanuzi wa hamali katika Kiswahili

hamali

nominoPlural mahamali

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kubeba mizigo.

    ‘Gari la hamali mkokoteni’
    mchukuzi, mpagazi

Asili

Kar

Matamshi

hamali

/hamali/