Ufafanuzi wa harabu katika Kiswahili

harabu

nomino

  • 1

    mtu mharibu.

  • 2

    [i-/zi-] kitu kiharibifu.

Asili

Kar

Matamshi

harabu

/harabu/