Ufafanuzi msingi wa haram katika Kiswahili

: haram1haram2

haram1

nominoPlural maharam, Plural haram

  • 1

    jengo la ukumbusho huko Misri lenye msingi wa mraba na ncha kama ya pembetatu lililotumiwa kuzikia mafarao na wake zao.

    piramidi

Matamshi

haram

/haram/

Ufafanuzi msingi wa haram katika Kiswahili

: haram1haram2

haram2

nominoPlural maharam, Plural haram

Kidini
  • 1

    Kidini
    eneo tukufu linalozunguka nyumba ya Kaaba huko Makka.

Asili

Kar

Matamshi

haram

/haram/