Ufafanuzi wa haramia katika Kiswahili

haramia

nominoPlural maharamia

  • 1

    jambazi anayeiba agh. baharini kwa kutumia nguvu.

    shifta, mnyang’anyi, gaidi

Asili

Kar

Matamshi

haramia

/haramija/