Ufafanuzi wa haribu katika Kiswahili

haribu

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa

  • 1

    fanya iwe katika hali mbaya au isifae.

    korofisha, hujumu, daathari, hasiri, bananga, fuja, angamiza, dhuru, chafua, atili, fisidi

  • 2

    ‘Haribu mtoto’
    potosha

Matamshi

haribu

/haribu/