Ufafanuzi wa harioe! katika Kiswahili

harioe!

kiingizi

  • 1

    tamko la furaha wakati meli inapoonekana baharini ikielekea bandarini.

Matamshi

harioe!

/hariɔɛ/