Ufafanuzi msingi wa hasa katika Kiswahili

: hasa1hasa2

hasa1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  omba faraji mizimuni.

  tambika

Matamshi

hasa

/hasa/

Ufafanuzi msingi wa hasa katika Kiswahili

: hasa1hasa2

hasa2

kielezi

 • 1

  tamko linalotumika kusisitiza ukweli fulani.

  ‘Hiki ndicho kitabu changu hasa’
  kabisa, hususan, kuntu

Matamshi

hasa

/hasa/