Ufafanuzi wa hatibu katika Kiswahili

hatibu

nominoPlural mahatibu

  • 1

    mtu anayetoa hotuba.

    mhubiri, mfawidhi

  • 2

    mtu wa cheo cha tatu chini ya waziri katika mfumo wa Kiswahili; mwendeshaji mashauri.

Asili

Kar

Matamshi

hatibu

/hatibu/