Ufafanuzi wa hatimiliki katika Kiswahili

hatimiliki

nominoPlural hatimiliki

  • 1

    hati inayompa mtu haki ya kisheria ya kumiliki ardhi kwa kipindi maalumu.

Asili

Kar

Matamshi

hatimiliki

/hatimiliki/