Ufafanuzi wa hawafu katika Kiswahili

hawafu

nomino

  • 1

    mtu mwoga.

  • 2

    hofu, woga

Matamshi

hawafu

/hawafu/